musicas.mus.br
Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - HANIPENDI - YAMMI - música e letra
Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas
Hanipendi letra
Hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako
Maana mi naupenda moyo wako
Nime muonaa dah ume mpost mtu wako
Mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo
Nateswa na baridi silalii na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyi nataabika
Zile njozi sizipati nzuri
Ooh
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena jamani hanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena hanipendi
Kabadilika kawa mbogo instagramu Ana post madongo
Kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo
Mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo
Mwenzenu nime ukoka moto
Unaniunguza mwenyewee
Nateswa na baridi silalii na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika
Zile njozi sizipati nzuri
Ooh
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena jamani hanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena hanipendi
Yammi - Letras
top 30 músicas
©2003 - 2026 - musicas.mus.br